iqna

IQNA

Aisha Bewley
Msomi wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Aisha Bewley , mtarjumi na mfasiri mashuhuri wa Kiarabu-Kiingereza, ametajwa kuwa mwanamke wa Kiislamu wa mwaka katika toleo la 2023 la Muslim 500, chapisho ambalo linawasifu Waislamu wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani.
Habari ID: 3476143    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24